Visit Sponsor

Written by 6:39 pm KITAIFA Views: 32

WAZIRI MKUU AWAONGOZA VIONGOZI, WANANCHI MAPOKEA YA RAIS WA IPU JIJINI DODOMA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) amewaongoza Viongozi, Wabunge na Watumishi wa Ofisi ya Bunge katika  mapokezi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (Mb) leo tarehe 31 Oktoba, 2023 katika Uwanja wa Ndege wa Jijini Dodoma. Mheshimiwa Dkt. Tulia  amewasili nchini  baada ya kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) katika Mkutano wa 147 wa Umoja huo uliofanyika Jijini Luanda, Angola.

About The Author

(Visited 32 times, 1 visits today)

Last modified: October 30, 2023

Close