Visit Sponsor

Written by 5:43 pm KITAIFA Views: 29

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AFUNGUA KONGAMANO LA 8 LA WAHANDISI WANAWAKE TANZANIA UKUMBI WA HOTELI YA GOLDEN TULIP ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la 8 la  Wahandisi Wanawake Tanzania linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 3-8-2023.(Picha na Ikulu)

WASAHIRIKI wa Kongamano la 8 la Wahandisi Wanawake Tanzania wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 3-8-2023.(Picha na Ikulu)

WAGENI Waalikwa katika ufunguzi wa Kongamano la 8 la Wahandisi Wanawake Tanzania wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 3-8-2023.(Picha na Ikulu) 

About The Author

(Visited 29 times, 1 visits today)

Last modified: August 3, 2023

Close