Rais Wa Club ya Yanga Africa SC, Injinia Hersi Said akiwa kwenye kituo cha uandikishaji wapiga kura kilichopo katika Shule ya Msingi Amani Gomvu Mtaa wa Minondo kata ya Somangira Wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuboresha taarifa zake kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura, leo tarehe 21 Mei, 2025.






About The Author
Last modified: May 21, 2025