Visit Sponsor

Written by 3:18 pm KITAIFA Views: 115

RAIS SAMIA AZUNGUMZA KWENYE MKUTANO WA 15 WA BRICS UNAOFANYIKA JOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa 15 wa BRICS unaofanyika Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 24 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Rais wa Malawi Mhe. Lazarus Chakwera kando ya mkutano wa 15 wa BRICS unaofanyika Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 24 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye
mazungumzo na Rais wa Senegal Mhe. Macky Sall kando ya mkutano wa 15 wa BRICS unaofanyika Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 24 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa pamoja na Rais wa Senegal Mhe. Macky Sall kando ya mkutano wa 15 wa BRICS unaofanyika Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini
tarehe 24 Agosti, 2023.

Viongozi Wakuu wa BRICS wakiwa kwenye Mkutano wa 15 wa BRICS unaofanyika Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 24 Agosti, 2023.

About The Author

(Visited 115 times, 1 visits today)

Last modified: August 25, 2023

Close