Visit Sponsor

Written by 1:02 pm KITAIFA Views: 47

RAIS SAMIA AONGOZA VIONGOZI, WANANCHI KUAGA MWILI WA RAIS MSTAAFU, ALI HASSAN MWINYI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi wakiomba Dua wakati wakitoa Heshima za mwisho kwenye Jeneza lenye Mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi katika uwanja wa Michezo wa Amani mjini Zanzibar tarehe 02 Machi 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  akizungumza wakati wa kuaga Mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi katika uwanja wa Michezo wa Amani mjini Zanzibar tarehe 02 Machi 2024.

Makamu wa Rais wa Namibia Mhe. Netumbo Nandi  Ndaitwah akizungumza na waombolezaji wakati wa kuaga Mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi katika uwanja wa Michezo wa Amani mjini Zanzibar tarehe 02 Machi 2024.

About The Author

(Visited 47 times, 1 visits today)

Last modified: March 2, 2024

Close