Visit Sponsor

Written by 4:25 pm KITAIFA Views: 45

RAIS SAMIA AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA BURUNDI IKULU, DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Burundi Mhe. Évariste
Ndayishimiye ambaye ni Waziri wa Masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Vijana Michezo na Utamaduni Mhe. Balozi Gervais Abayeho (pamoja na ujumbe wake) mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 30 Oktoba, 2023.

About The Author

(Visited 45 times, 1 visits today)

Last modified: October 30, 2023

Close