Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM MWANAHABARI

Chuo Cha usafirishaji NIT Leo wametoa masomo ya kuwaandaa wanafunzi Katika soko la ajira na soko la kujiajiri pindi watakapo maliza masomo yao Kwa wanafunzi wa awamu ya pili na ya tatu ambao wanaokaribia kuhitimu chuoni hapo
Ameyasema hayo Leo 3 Mei 2025 Kaimu Naibu Wa chuo upande wa taaluma Machapisho na ushauri elekezi Eva omary Lukwavi Amesema tunatambua elimu ambayo tunayoitoa madarasani na umuhimu wa ujuzi mbalimbali ambazo wanafunzi Kwa Sasa wanaziitaji sana lakini pia soko la ajira na waajiri na dunia Kwa ujumla wanaitaji

Amesema tunahakikisha tunaanda program mbalimbali ili kuhakikisha kwamba wanafunzi Wetu tunawapa skills tofauti tofauti ambazo zinaitajika duniani
“Kwa kipindi hichi Kwa Sasa Dunia tunahitaji Zaidi ya elimu content ya transport na logistics inaitaji wanafunzi,inaitaji wananyakazi ambao wanaweza kujielezea lakini wafanyakazi ambao wataleta Ubunifu mbalimbali Katika utendaji kazi wao wa kila siku Kwa kuwa tunatambua hilo tukaona ni vyema tunatenga siku kama hizi tunatumia walimu wa ndani lakini pia watu wenye ujuzi mbalimbali waleopo sokoni ilikuja Sasa kuwafundisha wanafunzi Wetu ni nini kinaitajika”Amesema Lukwavi

Ameongeza kuwa baada ya elimu Yao ya darasani wanatakiwa waiendeeje Dunia,Taifa ilikuweza kuleta maendeleo mbalimbali Kwa kufanya hivi ni kwamba tunaweka wanafunzi darasani lakini pia matukio kama haya tunahuwakika kabisa tunawawezesha wanafunzi Wetu Kwa ajili ya soko la ajira Ili wanapofika Katika ajira mbalimbali sio tu kuajiriwa hata wao kwenye kuajiri waweze kufanya vitu tofauti Kwa kutambua haya tumeona umuhimu pamoja na darasani lakini kuandaa shughuli kama hizi Ili tuwapike wanafunzi Wetu

Nae wanafunzi wa chuo Cha usafirishaji NIT Eva William Amesema Kwa Mafunzo haya sisi kwetu yanatija sana kwetu Kwa sababu Kupitia haya Mafunzo tumejifunza mengi,tumejifunza jinsi ya kuandika Jumletazi tumejifunza jinsi ya kwenda kutafuta
About The Author
Last modified: May 3, 2025