Visit Sponsor

Written by 8:00 pm MICHEZO โ€ข Views: 168

NABI KUJIUNGA NA KLABU HII

Aliyekuwa Kocha wa Young Africans SC, Nasreddine Nabi anahusishwa kujiunga na Mabingwa wapya wa Ligi Kuu Morocco, klabu ya FAR Rabat kama kocha mkuu kuelekea msimu ujao wa 2023/24.

Dili la Nabi la kuwa kocha mkuu wa Klabu ya Kaizer Chiefs limeota mbawa baada ya miamba hiyo ya Afrika Kusini kumtangaza Molefi Ntseki kama kocha mkuu klabuni hapo kufuatia kushindwa kuafikiana na mshindi huyo wa โ€˜domestic trebleโ€™.

About The Author

(Visited 168 times, 1 visits today)

Last modified: June 29, 2023

Close