Visit Sponsor

Written by 1:57 pm KITAIFA Views: 38

KAMBI MAALUM YA MFUMO WA UMEME WA MOYO YAFANYIKA JKCI

Wataalam wa afya wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao kutoka Shirika la Madaktari Afrika la nchini Marekani wakiangalia umeme wa moyo unaoingia kwa mgonjwa unavyofanya kazi kwa kutumia mashine ya CRTD Programmer wakati wa kambi maalum ya siku tano ya matibabu hayo. Jumla ya wagonjwa 12 wameshapatiwa matibabu katika kambi hiyo.

????????????????????????????????????
????????????????????????????????????

Madaktari bingwa wa moyo na mfumo wa umeme wa moyo wa
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao kutoka Shirika la Madaktari
Afrika la nchini Marekani wakimfanyia upasuaji wa tundu dogo kwa kutumia
mtambo wa Cathlab mgonjwa mwenye matatizo ya mfumo wa umeme wa moyo
wakati wa kambi maalum ya siku tano ya matibabu hayo.

????????????????????????????????????

About The Author

(Visited 38 times, 1 visits today)

Last modified: July 13, 2023

Close