Visit Sponsor

Written by 2:43 pm KITAIFA Views: 66

MAKAMU WA RAIS AZINDUA MRADI WA UMEME WA KV 360 MAKETE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akizungumza na Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kusini Kati – Makete
Dkt. Wilson Sanga wakati akikagua chanzo cha maji cha mradi wa kufua
nishati ya umeme wa KV 360 unaomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania (KKKT) uliopo Kijiji cha Masisiwe wilayani Makete mkoani Njombe.
(tarehe 27 Oktoba 2023).

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati akiwasili katika Kijiji cha
Masisiwe kilichopo Makete mkoani Njombe kwaajili ya kuzindua mradi wa
kufua nishati ya umeme wa KV 360 unaomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania (KKKT).

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa kufua nishati ya
umeme wa KV 360 unaomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
(KKKT) uliopo Kijiji cha Masisiwe wilayani Makete mkoani Njombe. (tarehe 27
Oktoba 2023).

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akivuta kitambaa wakati wa kuweka jiwe la msingi la uzinduzi wa
mradi wa kufua nishati ya umeme wa KV 360 unaomilikiwa na Kanisa la Kiinjili
la Kilutheri Tanzania (KKKT) uliopo Kijiji cha Masisiwe wilayani Makete mkoani
Njombe. (tarehe 27 Oktoba 2023).

Chanzo cha maji cha mradi wa kufua nishati ya umeme wa KV 360 unaomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) uliopo Kijiji cha Masisiwe wilayani Makete mkoani Njombe (tarehe 27 Oktoba 2023).

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakiwa katika picha ya pamoja na Bi.Ronesta Mgaya mkazi wa Tandala Wilayani Makete mara baada ya kuzungumza na wananchi wa Wilaya hiyo akiwa ziarani mkoani Njombe leo tarehe 27 Oktoba 2023.

About The Author

(Visited 66 times, 1 visits today)

Last modified: October 27, 2023

Close